Follow Us:

Call Now! 0716 563523

Interview With Simon Idavale

Interview With Simon Idavale

 

Tell us something about yourself?

Name is Simon Idavale, am married and I live In Nairobi

 

How long have you been in the Bodaboda industry?

I have in this industry for the last six years

 

How is it being a boda rider?

Ni job poa sana na ikona pesa nzuri

 

Kwani inalipa how much?

Kama uko karibu na town minimum ni 2000 daily na that is on a weekday

 

How did you get to know of Nikodigi Bodacare?

Niliambiliwa na rafiki yangu hapo muthurwa because I really needed insurance and I liked how Bodacare operates nikakuwa mteja regular

 

Why Nikodigi BodaCare?

First of all Friendliness hawa watu walikuwa very inviting and friendly furthermore vilewanasgughulikia watu waboda na kuspecialize na needs zao tu ilinibamba. I mean Insurance na loan on ground consultation na free training I was impressed.

 

Kwani how do other Insurance companies handle boda riders?

Kusema ukweli not as well laid out kama Bodacare unajua wao wamefocus on everything mtu wa boda anahitaji they make sure wakopale ndaniiii kabisa.

 

What would be your most memorable moment in the boda industry?

Waaaah heeeh… So kuna hii siku job ilikuwa poa na nilikuwa nimemake doh fit hata kuliko kawaida. So mimi nimetoka job nikapark bike kwa plot na nikaingia home, hata sikukaa sana kutoka after dakika kama mbao hivi nakuta bike yangu imeibiwa.

Niliboeka after a good days work masaaibu tena, so that time nilikuwa nimechukuwa insurance na Nikodigi Bodacare. Nikawa pigia nikaongea na Faith akanishow nisijali saana, nilete documents kadha kwa ofisi and after one and a half months nilikuwa na bike ingine.

Hiyosiku siwezi sahau.

 

What are your future aspirations?

Naona nikigo far especially saa hii vile naona industry ya Boda ikigrow. Mtu akitaka kufikisha parcel unaona boda pale ni faster kwanza sasa vile technologia imekuja kwa wingi na ona ata mimi nikiwa na boda kama tano hivi karibuni, si Bodacare watanipee bike on loan nizilipe zote.

 

What would be your parting shot for young guys looking to join this industry?

Naweza waambia Hii industry yetu sio ya failures pekee mimi nikona papers zangu but am still here coz bora kusurvive na kumake ends meet. Chukua all needed documens,t DL, permits za city council and uanze hustle yenye iko available naitakusustain.

No Comments

Sorry, the comment form is closed at this time.